10 Oktoba 2025 - 14:37
Video | Maelfu ya wakazi wa Ghaza wamesogea kaskazini kufuatia tangazo la kusitisha mapigano

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) -ABNA- kufuatia kusitishwa kwa mapigano kati ya kundi la Hamas na jeshi la Israel kuanzia saa 12 mchana (saa za eneo) Ijumaa, 18 Mehr, maelfu ya wakazi wa Ghaza walianza kurudi katika nyumba zao kando ya barabara ya pwani kaskazini mwa Ghaza. Kulingana na picha zilizotolewa na Shirika la Habari la AFP, mstari mrefu wa wanawake, wanaume, na watoto unaonekana ukisogea kati ya magofu ya vita kuelekea nyumba zao katika mji wa Ghaza kaskazini na Khan Yunis kusini.

Your Comment

You are replying to: .
captcha